Joho asema taifa linapoteza mapato mengi kutokana na shughuli haramu za uchimbaji madini

  • | Citizen TV
    2,375 views

    Waziri wa Madini na Uchumi wa majini Ali Hassan Joho amesema kuwa taifa linapoteza mapato mengi kutokana na shughuli haramu za uchimbaji madini.