Jonathan Mueke akabidhiwa usukani katika idara ya michezo na sanaa

  • | Citizen TV
    511 views

    Jonathan Mueke amechukua rasmi afisi ya katibu kwenye idara ya Michezo na Sanaa nchini. Hafla ya kukabidhiwa mamlaka imefanyika asubuhi ya leo wakati Joe Okudo akiondoka baada ya miaka mitatu mamlakani. Mueke amesema kibarua chake cha kwanza kitakuwa kutembelea ujenzi wa viwanja vilivyokwama kutathmini miundo mbinu hiyo ya michezo.