Jopo la kuwachunguza makamishana 4 wa IEBC laanza vikao

  • | Citizen TV
    1,945 views

    Jopo linalochunguza utendakazi wa kamishna wa IEBC Irene Massit na wenzake watatu waliojiuzulu limeanza rasmi vikao katika taasisi ya utunzi wa mitaala KICD. Kamishna Massit anawakilishwa na wakili Donald Kipkorir ambaye anapinga shughuli ya jopo hilo kutokana na kujiuzulu kwa makamishna watatu pamoja na kuwepo kwa kesi mahakamani dhidi ya jopo hilo. Makamisha Juana Cherera, Justus Nyang'aya, Irene Masit na Francis Wanderi wanatuhumiwa kukiuka kanuni za ofisi zao kwenye uchaguzi mkuu uliopita