Jopo lakamilisha kukusanya maoni kuhusu bima mpya ya afya

  • | Citizen TV
    115 views

    Serikali inapanga kuzindua mpango mpya wa bima ya afya ya jamii maarufu Social Health Insurance Fund mwezi Machi mwaka huu baada ya kukamilika kwa zoezi la kukusanya maoni ya wananchi.