Joseph Irungu ahukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Monica Kimani

  • | K24 Video
    245 views

    Joseph Irungu maarufu kama “Jowie” amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mfanyabiashara Monica Kimani mnamo mwaka 2018. Akizungumza wakati wa kutoa hukumu jaji wa mahakama kuu Grace Nzioka alisema kwamba mauaji ya kinyama ya marehemu Kimani yalitekelezwa kwa kukusudia. Hata hivyo Jowie anatarajiwa kukata rufaa