Joshua Otieno, mwanafunzi wa kidato cha kwanza ajipeleka shuleni akiwa na Biblia pekee

  • | Citizen TV
    11,651 views

    Joshua Otieno asema mamake hana uwezo wa kulipa karo ya sekondari Aliitwa katika shule ya upili ya Orero kaunti ya Homabay