Joshua stevens na Abigail Wanjiku waliouawa Mwiki wafanyiwa uchunguzi wa mauti

  • | Citizen TV
    870 views

    Kijana Joshua Stevens aliyeuawa ijumaa wiki jana wakati wa vurumai eneo la Mwiki aliaga dunia kwa athari za risasi. Upasuaji wa maiti umebaini haya huku pia ukiripoti kuwa Abigail Wanjiku aliuawa kwa kupigwa na kifaa butu kichwani kisha kunyongwa na kubakwa. Familia za waathiriwa sasa zikidai haki