Joto jingi linaloshuhudiwa kuendelea, waonya watabiri wa hali ya hewa

  • | KBC Video
    17 views

    Watabiri wa hali ya hewa wamesema joto jingi linaloshuhudiwa humu nchini litaendelea kwa siku kadhaa zijazo. Kwa mujibu wa idara ya utabiri wa hali ya hewa, mvua ya masika pia inatarajiwa kunyesha mwezi Machi mwaka huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #dirayamagwiji #weathernews