Joto la siasa pwani

  • | TV 47
    Aliyekuwa Seneta wa Mombasa Hassan Omar Hassan leo amekemea vikali hatua ya mfanyibiashara Suleiman Shahbal kufanya ujenzi wa nyumba mpya kwa wakaazi wa Buxton kaunti ya Mombasa. #TV47OnDSTV