Joto la uchaguzi Kenya lazidi kupamba moto

  • | VOA Swahili
    2,152 views
    Joto la uchaguzi nchini Kenya linazidi kupamba moto huku vifaa vya uchaguzi vikisambazwa kwenye maeneo husika... ... Tahadhari zinatolewa kuwataka wananchi kuwa makini katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu. - Kundi la wanawake bungeni Kenya na kampuni kuu ya mtandao ya Google wameungana na kuanzisha kampeni za kukomesha unyanyasaji... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.