JSC imeanzisha uchunguzi kuhusiana vitisho vya Salasya kwa hakimu wa Kakamega.

  • | Citizen TV
    325 views

    Tume ya huduma za mahakama imeanzisha uchunguzi kuhusiana na madai kuwa mbunge wa Mumias East Peter Salasya alimtisha hakimu wa Kakamega.