JSC yataka bajeti ya mahakama kuongezwa

  • | Citizen TV
    213 views

    Tume ya huduma za mahakama imeitaka Bunge kuongeza mgao wa pesa kwenye bajeti ya mahakama ili kuboresha huduma za mahakama nchini.