Skip to main content
Skip to main content

Juhudi ya kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana zinaendelea

  • | Citizen TV
    231 views
    Duration: 1:36
    Juhudi ya kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana zinaendelea, huku wadau wa elimu na sekta ya viwanda wakiungana kutumia mfumo wa dual Tvet kama suluhisho la masomo ya vitendo yenye matokeo.