Juhudi za kuimarisha vita dhidi ya ugaidi

  • | K24 Video
    39 views

    Usalama umeimarishwa sana katika jumba la maduka ya biashara la westgate hapa jijini Nairobi tangu shambulio la kigaidi miaka kumi iliyopita. Serikali imefanya mengi katika kuzuia visa vya kigaidi, ukiwemo utoaji wa mafunzo ya kisasa kwa maafisa wa usalama wa serikali na hata wa binafsi. Haya yamesemwa leo katika hafla ya ukumbusho wa shambulio la kigaidi la Westgate.