Juhudi za kuishinikiza Israel kusitisha vita Gaza, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    18,538 views
    Baada ya miezi 21 ya vita kati ya Israel na kundi la Hamas, matumaini ya kutangazwa kwa makubaliano mapya ya kusitisha vita Gaza yanazidi kuongezeka, huku Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akikutana na Rais wa Marekani Donald Trump jijini Washington baadaye leo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw