Skip to main content
Skip to main content

Juhudi za kutokomeza ukeketaji zapigwa jeki Embu

  • | Citizen TV
    51 views
    Juhudi za kutokomeza ukeketaji katika Kaunti ya Embu zimepata nguvu mpya baada ya kampeni ya kupinga ukeketaji inayowaweka vijana mstari wa mbele kuzinduliwa. Mpango huo wa Bodi ya Kupinga Ukeketaji, unajiri wakati hofu ikiongezeka kuwa wanaotekeleza ukeketaji wanazidi kufanya vitendo hivyo kwa siri.