Juhudi za uokozi zinaendelea Tanzania kufuatia maporomoko, watu zaidi ya 50 wafariki

  • | VOA Swahili
    3,241 views
    Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi kaskazini mwa Tanzania inazidi kuongezeka huku zaidi ya watu 80 wakiwa wamejeruhiwa. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.