Juhudi zafanywa kuhamasisha wanarika kuhusu athari za wizi wa mifugo katika kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    197 views

    Vijana wanarika katika kaunti ya Samburu wakituhumiwa kuendeleza uvamizi wa wizi mifugo katika jamii za Ufugaji,vijana kutoka jamii ya Turkana na Samburu wameshirikishwa katika mafunzo ya kiufundi. Hii ni kwa lengo la kutoa hamasa kwao kusitisha visa vya wizi wa Mifugo.