Skip to main content
Skip to main content

| JUKWAA LA AFYA | Saratani ya matiti [Part 4]

  • | Citizen TV
    161 views
    Duration: 17:12
    Dalili za msingi za saratani huwa uvimbe ndani ya titi Mbinu bora za kumhudumia mgonjwa wa kansa ni zipi? Wanaonyonyesha wakipata saratani wafanyeje? Ukubwa au umbo la titi hubadilika likiugua kansa Pia homoni, urithi, na mtindo wa maisha huchangia kansa Ugonjwa hugunduliwa kupitia uchunguzi wa mwili na titi Tiba huwa ya mnururisho, tiba ya kemikali, au upasuaji