19 Sep 2025 1:57 pm | Citizen TV 323 views Duration: 1:07 Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen ameshauri maafisa wa polisi kuwatumikia wananchi kwa uadilifu, wanapokabiliana na utovu wa usalama na pombe haramu.