Juliana Cherera ajiuzulu | Naibu Mwenyekiti wa IEBC ajing'atuka

  • | KBC Video
    259 views

    Naibu mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi-IEBC, Juliana Cherera amejiuzulu. Kwenye barua yake kwa rais kupitia mkuu wa utumishi wa umma, Cherera alisema aliamua kujiuzulu kufuatia matukio yanayojiri katika tume ya IEBC na baada ya kushauriana na mawakili na familia yake. Cherera amesema kuwa utendakazi wake ulitiwa doa na kuchukuliwa kivingine. Cherera ni kamishna wa pili kujiuzulu kutoka tume ya IEBC baada ya Justus Nyang’aya ambaye alijingatua mnamo Jumamosi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #IEBC #News #julianacherera