Jumba la ghorofa nne limeporomoka na kuangukia watu watatu wakiwemo watoto wawili

  • | Citizen TV
    1,538 views

    Watu watatu wakiwemo watoto wawili na mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 40 wamenusurika kifo baada ya jumba la ghorofa nne kuporomoka na kuangukia nyumba yao sokoni Gesima kaunti ya Nyamira.