Jumla ya timu 32 kushiriki mchuano wa timu nane bora Nyamira mwezi wa Disemba

  • | Citizen TV
    247 views

    Shirika la extreme sports kwa ushirikiano na shirikisho la soka kaunti ya Nyamira limetangaza ushirikiano wa kuandaa mchuano wa timu nane bora mwezi Disemba