Jumla ya timu ishirini na nne zilishiriki mchuano wa soka

  • | Citizen TV
    50 views

    Umla ya timu 24 zimepambana kwenye mchuano wa kandanda wa siku moja uliowaleta pamoja mawakili huru ulioandaliwa katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Strathmore jijini Nairobi.