- 4,061 viewsDuration: 3:29Jumla ya watu watano walifariki katika uwanja wa Kasarani na ule wa Nyayo siku ya Alhamisi na Ijumaa wakati wa kuutazama mwili wa mwendazake Raila Odinga. Tayari familia nne zimetambua miili ya wapendwa wao huku zaidi ya watu ishirini wakiripotiwa kujeruhiwa.