Jumuiya ya kimataifa yatakiwa kutousahau mzozo wa kibinaadamu DRC

  • | VOA Swahili
    41 views
    Umoja wa mataifa unatoa wito kwa jumuia ya kimataifa na vyombo vya habari kutosahau mzozo wa kibinadamu mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wakati ghasia dhidi ya wanawake na wasichana zikiripotiwa zinaongezeka. Idara ya huduma za dharura ya umoja wa mataifa OCHA inasema wanashirikiana na washirika wengine wa huduma za dharura kukabiliana na janga hilo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.