June Moi anazikwa nyumbani kwake Bahati Nakuru

  • | Citizen TV
    5,650 views

    June Moi mwanawe Wa aliyekuwa rais wa pili hayati Daniel Moi, anazikwa hii Leo nyumbani kwake Bahati kaunti ya Nakuru. Jamaa,marafiki Na viongozi mbalimbali wanahudhuria Ibada ya wafu katika uwanja Wa chuo kikuu cha Kabarak.