Junet : Tutaendelea kuikosoa serikali hata tukishirikiana

  • | Citizen TV
    7,242 views

    Kiranja wa wachache katika bunge la kitaifa Junet Mohammed, ametetea hatua ya uteuzi wa baadhi ya wanachungwa katika baraza la mawaziri. Junet anasema kama chama wataendelea kumtetea mwananchi na kuikosoa serikali licha ya viongozi wao kuingia serikalini.