Justus Wabuyabo : Nilikuwa nachunga ng'ombe huko Mumias,

  • | KBC Video
    3 views

    SEMA NA SPOKES

    Justus Wabuyabo, CEO- Nuclear Energy : Nilikuwa nachunga ng'ombe huko Mumias, nilianza kwenda shule nikiwa na miaka saba mwaka wa 1980. Nilihudhuria shule ya upili ya Starehe, baadaye nikajiunga na chuo kikuu cha Moi kusomea sheria.