Kabila analenga nini Goma? Na mbona amekutana na viongozi wa kidini?

  • | BBC Swahili
    13,486 views
    Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo Joseph Kabila yupo Goma, mashariki mwa taifa hilo. Na leo hii amejitokeza na kukutana na viongozi wa kidini wa mkoa wa Kivu Kaskazini mjini Goma.