Kabras RFC ndiyo mabingwa wa Kenya Cup katika mchezo wa raga

  • | West TV
    32 views
    Kabras RFC ambayo inadhamiwa na kampuni ya Jasti Rai wameweza kushinda kombe la Kenya Cup mara mbili mtawalia mchana wa leo kwenye uwanja wa Moi showground mjini Kakamega. Kabras RFC ambao wamecheza na KCB kwenye finali wameshinda kwa 29-05. kipindi cha kwanza mechi hii ilitamatika kwa maboa 22-05 huku mshambuliaji Ntabeni Dukisa akionyasha ubora wake kwa kufungia kabras penalti mbili na kuuza moja.