Kadi Mpya ya Maisha I Bitok asema wakenya hawatalazimishwa kujisajili

  • | KBC Video
    12 views

    Serikali inawashirikisha maafisa wa utawala kwenye kampeni ya kuhamasisha umma kote nchini kabla ya uzinduzi wa Kadi mpya ya Maisha. Katibu wa Uhamiaji, Prof Julius Kibet Bitok amewahimiza Wakenya walio na maoni kinzani kuhusu Kadi na Nambari ya Maisha kutafuta ufafanuzi wakati wa vikao hivyo vya umma

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive