'Kadiri watu wanavyo elimika kuhusu manufaa ya gesi asilia...'

  • | VOA Swahili
    267 views
    Tanzania inashuhudia kuongezeka kwa wanaotumia gesi asilia katika magari na kwa mujibu wa kampuni inayobadilisha mfumo wa magari kutumia gesi hiyo kadiri Watanzania wanavyo elimika kuhusu manufaa ya gesi asilia wateja wamekuwa wakiongezeka siku hadi siku. #tanzania #gesiasilia #magari #mfumo #kampuni #watanzania #wateja #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.