Kahawani ya mauti

  • | NTV Video
    72 views

    Watu wawili, ambao ni walinzi katika kiwanda cha kahawa cha Mariene kilichoko kaunti ya Meru walipoteza maisha yao usiku wa kuamkia leo, kabla ya kahawa ya thamani ya mamilioni ya pesa kuibiwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya