Kaimu afisa mkuu Andrew Mulwa ahojiwa kuhusu sakata ya neti za mbu ya KEMSA

  • | Citizen TV
    1,076 views

    Kaimu Afisa mkuu wa mamlaka ya kusambaza bidhaa za matibabu KEMSA, Andrew Mulwa, alipata wakati mgumu kuwajibika mbele ya kamati ya bunge kuhusu Afya, kuhusu utendakazi wake katika sakata ya vyandarua vya mbu wakati huo akiwa mkurugenzi wa kitengo cha Malaria katika wizara ya Afya. Wakati huo huo Waziri wa afya Susan Nakumicha ameelezea kamati hiyo ya bunge kuwa asilimia 60 ya wanaonufaika kutoka kwa bima ya NHIF ni hospitali za kibinafsi.