Kaimu jaji mkuu Philomena Mwilu ahimiza maafisa wa idara kutekeleza majukumu yao kwa haki na uwazi

  • | KBC Video
    Kaimu jaji mkuu Philomena Mwilu amewatahadharisha maafisa wa idara ya mahakama wanaohujumu utekelezaji haki .Alisema maafisa wa idara wanajukumika kutekeleza majukumu yao kwa haki na uwazi bila kushawishiwa na yeyote. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive