Kaimu Kocha Kimanzi ana imani Kenya itaishinda Kilimanjaro Stars Gombani Pemba

  • | NTV Video
    193 views

    Kaimu Kocha mkuu wa Harambee Stars Francis Kimanzi ni mwingi wa imani kwamba Kenya itaishinda Kilimanjaro Stars hapo kesho uwanjani Gombani kisiwani Pemba na kuimarisha kampeni yake ya kunyakua kombe la Mapinduzi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya