Kaimu mkuu wa polisi aonya kuhusu uvamizi wa JKIA

  • | Citizen TV
    16,019 views

    Waandamanaji wametakiwa kufuata Sheria wanapoandamana ili kuzuia uharibifu wa mali, vurugu na kuepuka mauaji yanayotokana na ghasia za kuandamana