Kakamega: Makabiliano na askari yapelekea serikali kusikiliza madaktari

  • | NTV Video
    164 views

    Makabiliano yaliyozuka kati ya askari wa kaunti ya kakamega na madaktari kwenye lango kuu la hospitali hiyo mjini kakamega wakati walipokuwa wakiandamana kutaka serikali kutekeleza matakwa yao huenda yalichangia pakubwa na kuzaa matunda wakati serikali hiyo iliamua kuketi chini na kufanya mazungumuzo nao

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya