Kakamega: Mashabiki wa timu ya Chelsea wajitolea kutoa damu katika hospitali ya Rufaa

  • | NTV Video
    197 views

    Kama njia mojawapo ya kupunguza mahangaiko ya wale wanaotafuta huduma ya kuongezewa damu katika Hospitali ya Rufaa mjini Kakamega, kundi la vijana wa kizazi cha Gen-Z walifika kwenye hospitali hiyo kwa kujitolea kutoa damu itakayosaidia wale wanaofika hospitalini humo wakiwa wamepoteza damu kutokana na ajali pamoja na magonjwa mengine.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya