- 1,689 viewsDuration: 3:16Maafisa wa polisi kutoka eneo bunge la Malava, Kaunti ya Kakamega wameanzisha uchunguzi kutokana na mauaji ya kinyama yaliyotokea katika kijiji cha Chombeli karibu na soko la Lubao ambapo mwili wa mwanamke mwenye umri wa miaka 45 ulipatikana ndani ya nyumba yake. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya