Kakamega: wakazi wataka mabadiliko ya polisi wakidai kongezeka kwa utovu wa usalama

  • | NTV Video
    615 views

    Kutokana na kupanda kwa visa vya watu waliouawa kuokotwa wakiwa wametupwa kwa mitaro katika barabara kuu ya kutoka Kisumu kuelekea Webuye mjini Kakamega, wakazi wanataka Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen kufanya mabadiliko ya haraka kwa vikosi vya maafisa wa polisi mjini Kakamega wakidai wamelala kazini

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya