- 1,810 viewsDuration: 3:36Kundi moja la wanawake wakiwemo maajuza pamoja na wazee ambao wameoa ila hawakufanikiwa kupata mtoto/watoto kwenye ndoa zao limeitaka serikali kuhakikisha kuwa linawatambua na kuwaweka miongoni mwa watu wanaoishi na changamoto za ulemavu nchini Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya