Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo aahidi mabadiliko iwapo atakuwa rais baada ya uchaguzi wa 2027

  • | NTV Video
    14,322 views
    Duration: 4:24
    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ameahidi kuwa iwapo atakuwa rais baada ya uchaguzi wa mwaka 2027, utawala wake utakuwa wenye heshima kwa Wakenya, utakuwa ndio mwisho wa ukatili wa polisi na utekaji nyara, na kuwa huduma za afya zitakuwa ni haki kwa kila mmoja. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya