Kalonzo ajitokeza na kudai kuwa yeye ndiye kiongozi upande wa upinzani

  • | K24 Video
    486 views

    Kinara wa wiper Kalonzo Musyoka sasa amejitokeza kimasomaso na kudai kuwa yeye ndiye kiongozi upande wa upinzani. Haya yanajiri siku chache baada ya kinara wa Azimio Raila Odinga kutangaza kuwa ametuliza siasa zake . Kalonzo na wandani wake wameshikilia kuwa chama cha ODM kuwa kwa serikali kunahujumu demokrasia ya vyama. Kalonzo na wandani wake wa kisiasa walifika eneo la Githurai na kusisitiza uwajibikaji wa polisi kwa mauaji yaliyotekelezwa wakati wa maandamano ya Gen Z