- 12,405 viewsDuration: 2:53Kinara wa Wiper na Azimio la Umoja One Kenya, Kalonzo Musyoka, leo amefanya kikao na kinara wa DCP Rigathi Gachagua na mwenzake wa DAP-K, Eugene Wamalwa. Mazungumzo haya yamefanyika siku moja baada ya muungano wa Azimio kumpa Kalonzo jukumu la kujadili ushirikiano na vyama vingine vya upinzani. Haya yakijiri, vyama vingine ndani ya upinzani vinalalamikia kuhangaishwa na kudharauliwa na DCP. Kamau Mwangi na mengi zaidi.