Kalonzo apingwa vikali kwa kudai upinzani haukuhusishwa katika mchakato wa kuunda tume mpya ya IEBC

  • | NTV Video
    291 views

    Viongozi wanaoegemea upande wa serikali, wamempiga vijembe kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka na kumtaja kama mnafiki kwa kudai kuwa rais William Ruto hakuhusisha upinzani wakati wa uteuzi wa mwenyekiti wa IEBC na makamishina wengine.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya