Kalonzo apuzilia mbali pendekezo la rais Ruto kubuni serikali ya muungano baada ya maandamano

  • | Citizen TV
    871 views

    Kinara Wa Wiper Kalonzo Musyoka Amepuzilia Mbali Pendekezo La Rais Ruto La Kubuni Serikali Ya Muungano Kufuatia Maandamano Ambayo Yamekuwa Yakiendelea Nchini. Kalonzo Aliyezungumza Katika Ibada Ya Jumapili Hapa Nairobi Pia Amesisitiza Kuwa Muungano Wa Azimio La Umoja One Kenya Hautashiriki Mazungumzo Na Serikali Kabla Ya Haki Kwa Waandamanaji Waliouwawa Na Kudhulumiwa Na Polisi