Kalonzo ataka kanisa katoliki liombee mazungumzo yawe na ufanisi

  • | K24 Video
    91 views

    Muungano wa Azimio la Umoja ukiongozwa na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka umesisitiza kuwa mazungumzo kati yao na serikali ya Kenya Kwanza yanaendelea vyema huku wakiwakashifu wanaoenda mahakamani kupinga hatua hiyo. w=Wakiongea katika uzinduzi rasmi wa jimbo la wote litakaloongozwa na askofu Paul Kariuki, muungano huo umesema kuwa waliitika wito wa kanisa wa kuhakikisha kuna amani ndiposa wanafanya mazungumzo.