Kalonzo ataka serikali kutoingilia shughuli za bodi ya kutoa mikopo ya karo ya elimu ya juu HELB

  • | KBC Video
    10 views

    Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka ametoa wito kwa serikali isiingilie shughuli za bodi ya kutoa mikopo ya karo ya elimu ya juu (HELB) akisema wanafunzi wengi hunufaika pakubwa na mikopo ya kulipia karo kutoka kwa hazina hiyo.Kalonzo anasema kutatiza shughuli za hazina kutawaathiri wanafunzi wanaoitegemea kwa karo na mahitaji mengine ya masomo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #helb#kalonzomusyoka